Psalms 97:10-12


10 aWale wanaompenda Bwana na wauchukie uovu,
kwa maana yeye hulinda maisha ya waaminifu wake
na kuwaokoa kutoka mkononi mwa mwovu.

11 bNuru huangaza wenye haki
na furaha kwa watu wanyofu wa moyo.

12 cFurahini katika Bwana, ninyi mlio wenye haki,
lisifuni jina lake takatifu.
Copyright information for SwhKC